iqna

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Imedokezwa kuwa, murtadi Salman Rushdie aliyepata majeraha makubwa katika shambulio la mwezi Agosti sasa amepoteza uwezo wa kuona jicho lake moja huku mkono wake mmoja nao ukiwa umepooza.
Habari ID: 3475985    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24